Ø Chakula bora chenye uto-mwili (protini) muhimu inayohitajika kujenga mwili.
Ø Kujipatia kipato baada ya kuuza samaki waliofugwa na kuongeza kipato chako.
Ø Kuboresha kazi nyingine za kilimo kama vile bustani ya mboga mboga n.k
Ø Huwezesha kutumia rasilimali ambayo isingekuwa ikatumika kama kusingekuwa na ufugaji samaki kama vile eneo la ardhi lenye maji maji,pumba zinazotokana na mazao kama vile za mahindi,na mpunga ambazo hutengeneza chakula cha samaki.
Ø Eneo la bwawa la samaki huwa sehemu nzuri ya kupumzika.
Ø Husaidia kuongeza pato la taifa
Ø Kuongeza upatikani na kitoweo cha samaki muda wote,kuliko kutegemea kutoka katika mazingira halisi.
Ø Husaidia kupunguza shughuli za uvuvi uliokithiri ambao hupelekea upatikanaji wa samaki kuwa ghali na kupungua.
Ø Kuongeza ajira kwa rika zote,husani kwa vijana kina mama na wazee.
Pata app yako kiganjan kupata ufugaji kitaalam
0 comments:
Post a Comment