MAGONJWA YA KUKU KUPITIA RANGI YA KINYESI
1. Mharo mweupe(pullorum bacilary diarrhoea)
ugonjwa huu huathiri zaidi vifaranga kabla ya wiki nne
huharisha mharo mweupe,
TIBA kuu ni usafi pekee kwenye banda na kuepusha maji yasimwagike ovyo.
2.KIPINDUPINDU CHA KUKU(fowl cholera)
kinyesi cha kuku ni njano
tumia dawa za salfa, eg Esb3 au amprollium
3.COCCIDIOSIS
mwanzo kinyesi cha kijivu na baadae huharisha damu iliyochanganyika
Tumia dawa ya VITACOX au ANTICOX
4.MDONDO(Newcastle)
kuku hunya kinyesi cha kijani
sio kila kijani ni newcastle
HAKUNA TIBA
5.TYPHOID
Kinyesi cheupe
kinagandia sehemu za nyuma au hulowana sehemu za haja
dawa ni Eb3
6.GUMBORO
Huathiri zaidi vifaranga
kinyesi huwa ni majimaji
Dawa hakuna
tumia vitamini na antibiotic
Kalenda ya chanjo kama ifuatanyo.
1week- Marek's vaccine
2week- Newcastle vaccine
3week- Gumbolo vaccine
4week- Gumbolo vaccine tena
PUMZISHA CHANJO THEN ENDELEA IKIFIKA WIKI YA NANE
8week-Fowl pox vaccine
9week-Newcastle vaccine
PUMZIKA TENA MPAKA WIKI YA KUMI NA NAME
18week- Fowl typhoid vaccine
BAADA YA KUMALIZA CHANJO HIZI endelea kumpa chanjo ya Newcastle vaccine kila baada ya miexi mitatu au minne.
Ukifanya hivi kuku wako wote hawataumwa na magonjwa nyemelezi tena
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA NDEGE mfano vifaranga vya kuku
➡️Hakikisha banda la vifaranga pamoja na vyombo umepuliza dawa ya kuua bakteria kwa kutumia dawa ya VRID nk kabla hujaingiza vifaranga.
➡️Hakikisha unavifaa vya joto (a) kama unatumia umeme au solar tumia Balbu, heater, modules nk. (b) kama umeme huna tumia chemli, karabai, jiko la mkaa, vidumu vya maji ya moto, vyungu vya joto.
➡️Baada ya hapo kuanzia siku ya 1-5 wape Grucose(glocovent ya ndege) + Otc plus/chicken plus + vitamin either ununue Multivitamin/vitalstress au ununue molasses ya unga 1kg +40litre za maji wape kila siku ni nzur.
➡️Wakitimiza siku ya 7 wape chanjo ya Newcastle deases(mdondo) then uendelee kuwapa maji ya molasses baada ya kutoa maji ya mdondo masaa 2 yakipita.
➡️wakitimiza wiki 2 yaan siku 14 zikiisha wape chanjo ya gomboro(uendelee na maji ya molases.
➡️wakitimiza wiki 3 utarudia chanjo ya mdondo na kuwapa antibiotics kama Otc 20% or otc 50% +Amprolium kwa muda wa siku 4-8 na utaendelea na maji ya molases.
➡️Wakitimiza wiki ya wape chanjo ya Ndui(fowlpox) pamoja na dawa ya minyoo kama Ascaress( piperazine)
➡️NOTE chanjo zote utarudia kila baada ya miezi 3.
➡️Chakula cha vifaranga kuanzia siku ya 1 mpaka wiki ya 8 wape either sterter / chick mash na kuanzia miezi 3-4 wape Chakula aina Growers /finisher nk.
➡️Wakifisha miezi 5 nashaur anza kuwapa Chakula aina ya Layers mash 50 kg +1 kg ya G.L.P so G.L.P ni aina ya virutubisho vyenye kuongeza wingi wa utagaji wa mayai kwa ndege.
➡️wakifikisha wiki ya 16 kata midomo kisha wape Neoxyvital mfululizo kwa muda wa siku 4-6.
➡️Usafi wa banda na vyimbo ndo nguzo ya msingi hakikisha kila baada ya miezi 3 unapuliza dawa kuuwa bakteria kama VRID pia zingatia muda sahihi wa madawa kwa magonjwa yote ya kuku iwe ya Virus, Bakteria nk pia maji safi ni muhimu kitaalamu kuku mmoja hunywa maji robo litre na gram 125/150 za chakula per day so ukizingatia hvyo hakika utaona mafanikio ya ufugaji acha kufuga fuga kibiashara nitaendelea kuwafahamisha Faida za Mlonge(moringe) pamoja na DCP(Dicalcium Phosphate ) kwa jamii za na wanyama.
................................................................................................................

0 comments:
Post a Comment