JINSI WAFUGAJI WA KUKU WANAVYO TENGENEZA BREEDS ZISIZO SIKIA DAWA.
Kama wewe ni mfugaji wa kuku basi unaweza kuwa umekutana na hii kadhia.
Kadhia yenyewe ni ya kuwa na kuku wasio sikia dawa yaani wakianza kuumwa watakufa hadi wenyewe wastop ila si kwamba wastop.kwa wewe kuwapa Dawa.
Mfugaji hubadili kila aina ya dawa lakini wapi.
Hiii tabia ipo sana kwenye hawa kuku chotara hawa wanao zalishwa mtaani.
Hiki kizazi kisicho sikia dawa huwezi kukikuta kwenye breeds kama hiizi.
- Layers
-Broiler
Au F1 yoyote ilw.
NINI SABABU.
Sababu kubwa ni kwamba kila mtu ni Dr mfugaji ni Dr sasa hii inapelekea kila kuku anapo umwa ni Dawa.
Wafugaji wamekuwa wananunua Dawa ambzo zingine ni kari sana ila ndo hizo anazo waanzishia vifaranga wake.
MFANO.
Kuna OTC 5% hadi 100%
Kuna 5%
Kuna 10%
Kuna 20%
Kuna 30%
kuna 50%
na kuna 70% na kuna 100%
Sasa mtu vifaranga wake ndo kwanza wanaumwa anaenda kuwanunulia 50% au 100%
Hapo ni kwamba kwa baadae hata hao.kuku watakapo kuwa wanataga na kutotoa vifaranga huenda hao vifaranga wasisikie dawa kama OTC 20%
Hata Mahosipitalini kuna Dawa kari sana na za kawaida na ukifika mara ya kwanza unaweza andikiwa Dawa za kawaida ila zisipo fa ya kazi Dr atakuandimia za juu kidogo nazo zisipo fanya kazi atakuandikia zingine kari zaidi.
Mimi binafisi niliwahi andiliwa Antibiotic nikabiwa hii ndo ya mwisho na isipo fanya kazi kapige Utrasound.
Haya Madawa ya kuku yanawatengeneza usugu na in return vinatengenezwa vizazi vya kuku wasio sikia Dawa.
Kuna watu wengi sana imewatokea kuku wake either wanaumwa wanaharusha au wanaumwa ugonjwa mwingine lakini kuku wanapewa dawa wapi.
Ukienda Dukani wanakuambia labda jaribu hii una unua ukiwapiga wapi ndo kwanza vifo vinaongezeka.
Ukirudi Dukani unapeaa nyingine nazyo ukiwapa hakuna kitu wanakufa.
DAWA SIO NZURI KABISA KWA KUKU NA USIOMBE KUKU WAKO WAZOEE DAWA AU WAWE NI WA DAWA.
Sasa kuna wengine hata kama kuku hawaumwi anawapiga ma Antibitic akizania sifa.
Kama kuku hawaumwi usiwape Dawa make impact ya kuwazoesha madawa ni mbaya sana na inaenda mbali zaidi.
Pia angalia levo za Dawa na kamwe usipende kuwapatie zile kari sana.
MFANO
Dawa kama OTC100% inatumika tu endapo atibiotic zingine zote zimeshindwa kufanya kazi ila si kwamba ndo uanze nayo.
.......................................................................................................................

0 comments:
Post a Comment