KUKU WA KIENYEJI
AINA ZA KUKU
kuna aina kuu mbili za kuku
1. Kuku wa asili ( kuku wa kienyeji)
2. Kuku wa kisasa
Kuku wa asili
Hawa hutofautiana katika
1.maumbo,
2.utagaji,
3. uzito,
4.rangi ya manyoya,
5.ukuaji na
6.uwezo wa kutaga mayai.
Kuku wa kienyeji hukua taratibu na hutaga mayai machache/kidogo.
Kuku wa kisasa (Exotic breed)
Hawa ni kuku toka nchi za kigeni pia wana aina mbili ambazo ni
i. Kuku chotara
ii. Pure breeds
...........................................................................................................................................
0 comments:
Post a Comment