script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X




Kuku wamegawanyika katika makundi mawili makuu.
*Light breeds
*heavy breeds
Light breeds (or non-setters) hufugwa kwa kuzalisha mayai maana wana nyama au uzito mdogo.
Heavy breeds hufugwa kwa vyote nyama na mayai (dual purpose Bird)
Kutokana na makundi hayo ndio tukapata kuku wa uzalishaji (commercial utility birds or breeds) hawa wanakua mi *chotara/hybrids*
Sasa chotara au hybrids wana zalishwa kwa kazi fulani (they ar bred for particular purpose (s) ) eg. For eggs or for meat production.
Sasa hawa kuku tunawatumia kwa kazi mbili either watupe mayai au watupe nyama.
Kuku anapotumika kaa vyote (nyama na mayai) anaitwa dual purpose Bird, huyu anatakiwa awe na uzalishaji wa mayai na nyama kwa wastani yani viwe sawia. Mfano jogoo kg 4 tetea kg 3 mayai 220 kwa mwaka.
Katika nchi zetu za zinazoendelea dual purpose ni bora kwakua pia wengi wa wafugaji  wanategemea kufuga huria kwa gharama ndogo au nafuu.
Ila kwa nchi zilizoendelea dual purpose wameonekana inefficient ndio maana kama unataka mayai unafuga hybrid layers hawana nyama sana ila mayai ni 280 mpaka 300 kwa mwaka, kama ni nyama broiler anakua haraka ndani ya wiki 5 ana gram hata 1000-1500.
*Kuku wanaofugwa free range au extensive kiafrika mostly kitanzania wanakua order (more than 8 months of age) kwahiyo wanakua more suitable for boiling na pia wana flavor inayoletwa na ukomavu wao.*
*Boiling is common for meat preparation ina developing countries*
Mfano wa mbegu ambazo ni heavy breeds
1. Rhodes island red
2. The orpington
3. The Wyandotte
4. Light Sussex
5. Plymouth Rock
6. The barred rock
8. The buff rock
9. New Hampshire red
10. Black australorp

Mfano wa mbegu ambazo ni light breeds
1. White leghorn
2. Black leghorn
3. Brown leghorn
4. Minocra
5. Ancona
6. Cornish
7. Barnavelder and its variaties.

*Local chicken Ecotypes* ( wengi hutumia jina kienyeji)
Hapa Tanzania kuna
1. *Kuchi* (wanapatikana mwanza)
2. *Singamaganzi*
3. *Mbeya*
4. *Morogoro medium*
5. *Ching'wekwe* ( morogoro short)
Nitatoa tabia zao.
Sasa kuku wengi au aina tajwa hapo sio machotara ni pure breeds.
Mbegu kama kuroiler haipo humo kwakua ilipatikana ka kuchanganya mbegu hizo zoote lengo ni kupata mbegu moja yenye walau tabia zote nzuri kutoka kila mbegu.

Kama una swali kuhusu tiba na ufugaji wa kuku karibu.
Kama unahitaji vifaranga karibu.
NB:Hizi ni zile ambazo hazitokani na Closebreed ya Kuku mwingine,
.......................................................................................................................

0 comments:

 
Top