Kuroiler ndio kuku mwenye faida
Kuroiler ni mchanganyiko wa kuku wa aina mbili.
Kuroiler ni mchanganyiko wa kuku wa aina mbili.
- Ni mchanganyiko wa Jogoo wa broiler ( Kutoka Sasso). _
- Hawa Sasso wanakuwa na umbo kubwa na kuongeza uzito (nyama)._
- Akapandishwa Jike wa Rhodes Island Red huyu anasifa kubwa Kwenye utagaji wa Mayai.
- Kwahio Kuroiler ni Kuku mwenye sifa za kuwa na uzito mkubwa ( kutoka kwa Baba) na Mayai mengi ( kutoka kwa mama). _
- Hivyo Basi kama wewe ni Mfugaji na unataka kupata kipato kupitia Kuku fuga Kuroiler.
Kwasababu:
1. Anakua kwa Haraka zaidi. (Karithi kwa Jogoo)
1. Anakua kwa Haraka zaidi. (Karithi kwa Jogoo)
2. Anataga Mayai mengi zaidi ( karithi kwa mama)
3. Ana kuwa na uzito mkubwa zaidi ya kuku mwingine.
4. Mayai ya Kuroiler na nyama yake ni Bora zaidi. Mayai yana kiini cha njano na radha nzuri sana.
4. Mayai ya Kuroiler na nyama yake ni Bora zaidi. Mayai yana kiini cha njano na radha nzuri sana.
5. Gharama za kuwatunza ni za kawaida kabisa: unaweza ukamuachia akajitafutia Chakula mwenyewe.
.....................................................
.....................................................
0 comments:
Post a Comment