script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X




https://www.mshindoveterinarycentre.com/ Bata ni ndege wa maji wa familia ya Anatidae wenye mdomo mfupi na mipana na miguu yenye ngozi kati ya vidole.
 Manyoya yao huwa na uwezo bora wa kufukuza maji kwa msaada wa mafuta maalumu.
 Bata ndiyo moja ya familia za ndege ambazo spishi zao zina uume.
Mwili wote wa bata kwa ujumla ni mrefu na mpana, na bata wengi kwa wastani wana shingo fupi lakini shingo la bata bukini na bata-maji ni ndefu.
Umbo la mwili wa bata kwa kiasi fulani hutofautiana kwa umbo kuwa kidogo wa duara kidogo. Miguu yenye magamba ni yenye nguvu na iliyokuwa vizuri, na kwa kawaida, na hurushwa nyuma kabisa ya mwili, hivyo zaidi hasa kwenye spishi za majini.
Mbawa zake ni zenye nguvu na kwa ujumla ni ndogo na zilizochongoka, na kupaa kwa bata kunahitaji mapigo ya haraka bila ya kupumzika, hivyo kuhitaji misuli yenye nguvu sana.
 Hata hivyo spishi tatu za bata aina ya steamer hawawezi kuruka kabisa.
Spishi nyingi za bata hushindwa kuruka vizuri kipindi cha kupukutisha manyoya ya zamani na kuotesha mapya; hutafuta mazingira salama yenye chakula kingi wakati huo.
 Hivyo basi kipindi hiki hufuata baada ya kipindi cha kuhama.

Ndege hawa wana rangi mbalimbali.

 Spishi kubwa hutafuta chakula aghalabu ardhini au kwa maji machache.
 Spishi ndogo nyingine
Manyoya ya spishi kadhaa hupendwa sana kama kijazo cha mito, mifarishi, mafuko ya kulalia na makoti. Spishi nyingi za mabata hutumika kama chakula.

...........................................................................................................................................................

0 comments:

 
Top