Tabia za kuku mgonjwa
Kuku asie na afya huonesha hizi dalili.
- Kuku huchoka na kupoteza furaha
- Macho yaliofifi na upanga legevu
- Hulala na kusinzia wakati wote
- Hula na kunywa kidogo
- Hupunguza kutaga mayai
- Hushusha manyoya na manyoya hutimka
- Kinyesi chenye maji maji na mara nyingine damu au minyoo
- Kuku hukohoa na kupumua kwa tabu sana ..................................
0 comments:
Post a Comment