Majani mabichi 10% ya uzito wa mwili wake. Majani makavu kilo 6, kuhusu virutubisho vingine mhimu ni kilo mbili za mchanyiko wa vitu vifuatavyo, 1)Shayiri/Ngano 30 Kg 2)Paraza ya mahindi 34 Kg 3)Mashudu ya alizeti 11 Kg 4)Mashudu ua pamba 13 Kg 5)Soya 8 Kg 6)Chumvi 0.5 Kg 7)Mchanganyiko wa madini maalum 1.5 Kg. 8) Mifupa/DCP. 2.0Kg Jumla inakuwa 100 Kg. ............................................................................. |
|
|
0 comments:
Post a Comment