script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X






https://www.mshindoveterinarycentre.com/

Kuku wamayai iliwatage vizur iwanatakiwa walishwe chakula bora kwautaratibuunaotakiwa, ukiwazidishia au kuwaongezeahawatotagavizuri. Wanatakiwawalishwekulingananaumrikamaifuatavyo:-

UMRI WA WIKI 1 -2
Katikaumrihuuwanapewachakulaainaya "Super Chick Starter" kwaajiliyakuwatengenezeakingambadalailiwawezekuhimilimagonjwanavijiduduviletavyomagonjwakadriwanavyoendeleakukua, wanapewachakulahichokwakiwangomaalumkamaifuatavyo:-
Wiki ya 1: Gramu 12 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 2: Gramu 22 kwa kuku mmojakwasikumoja


UMRI WA WIKI 3 - 8
Hapawanakuwabadonivifaranganawanapewachakulaainaya "
Chick Starter" kwaajiliyakuendeleakuwajengamiiliyaowawezekupoekeavirutubishovizuri, hiiinatokananakwambakunabaadhiyaviinilishevinafanyakaziyakumeng'enyachakulanakupatikanaviinilishevingine, kwahiyovikikosekanakatikamwiliwa kuku basihata wale chakulagani bora, hawawezikutoamazao bora, lakinikwakuwapa "Chick Starter" itawapelekeakuwanavirutubishohivyomuhimu. Kiwangonaulishaji wake nikamaifuatavyo:-
Wiki ya 3: Gram 27 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 4: Gram 32 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 5: Gram 38 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 6: Gram 42 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 7: Gram 46 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 8: Gram 50 kwa kuku mmojakwasikumoja

UMRI WA WIKI 9 - 18
Katikaumrihuu kuku wanapewachakulaainaya "
Grower Mash" kwaajiliyakuwakuzanakuwajengamfumowauzazikwamaandaliziyautagaji. Kiwango cha chakulakinategemeana wiki kamaifuatavyo:-
Wiki ya   9: Gram 56 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 10: Gram 62 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 11: Gram 64 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 12: Gram 66 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 13: Gram 68 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 14: Gram 74 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 15: Gram 74 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 16: Gram 80 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 17: Gram 82 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 18: Gram 88 kwa kuku mmojakwasikumoja

UMRI WA WIKI 19 - 40
Huuniumriambao kuku wanatagakwakiwangokikubwasana (85% hadi 100%) haliambayoinawafanyakutumianguvunyingimno, hivyohupewachakulaainaya "
Layers Phase 1" kwaajiliyakufidianguvuyaziadawanayotumiailiwaendeleekutagakwakiwangohichohicho. Ulishaji wake nikamaifuatavyo:-
Wiki ya 19: Gram 92 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 20: Gram 102 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 21: Gram 108 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 22: Gram 114 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 23: Gram 116 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 24: Gram 120 kwa kuku mmojakwasikumoja
Wiki ya 25 - 40: Gram 130  kwa kuku mmojakwasikumoja

UMRI WA WIKI 41 - 80
Katikaumrihuu kuku wanakuwawameanzakuchokanahuanzakutagakwakiwango cha kawaida (65% hadi 75%) hivyohupewachakulaainaya "
Layers Phase 2" kwaajilikuendeleza (maintain) kiwangochaohichokwamudamrefu. Kiwangochaoni "Gram 130 kwa kuku mmojakwasikumoja".


NB: Kuanzia wiki 81 nakuendeleaunawezakuwauzanakuweka kuku wengine

0 comments:

 
Top