script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X





 Mshindo media-Animal feeds
*Orodha ya magonjwa yatokanayo na Lishe Duni*
*1:Matege(Ricketts)*
*2:Kuvunjika mifupa.*
*3:Kudonoana manyoya*

   *1:MATEGE (RICKETTS)*
*huwapata vifaranga wanaokuwa na husababisha mifupa kuwa Laini na iliyolemaa na kufanywa washindwe kutembea*
  *KISABABISHI:*
*upungufu wa kukosa uwiano wa madini ya Chokaa, Phoshorus na Vitamin D*
  *DALILI*
*A:Miguu hupinda.*
  *B:Ncha za Mifupa mirefu huvimba.*
*C:Mifupa huwa laini.*
*D:Kutembea kwa shida.*
     *TIBA*
*wapewe madini ya vitamin D Kwa kiasi kinachotakiwa. Hii ni Kwa sababu madini ya phosphorus yakizidi husababisha madini ya Chokaa hupungua.*

   *2:KUVUNJIKA MIFUPA.*
 Mshindo media- Animal feeds*husababishwa na kuumia kutokana na ajali, kipigo,au kutokana kulishwa chakula chenye upungufu wa madini  Kama vile Chokaa, phosphorus na vitamins D*
   *DALILI*
*kushindwa kutembea, Kula,kupungua uzito n.k*
   *KUZUIA.*
*A:kuku wapewe chakula chenye madini ya kutosha kilingana na Mahitaji.*
*B:Epuka mazingira yanayoweza kuku kuvunjika.*

   *3:KUDONOANA MANYOYA.*
  *Hii ni tabia mbaya kwenye kuku na bata mzinga ambayo hujitokeza Kwa kudonoana manyoya sehemu za nyuma Au kudonoana ngozi maeneo yasiyo na manyoya kama vile kichwani, mapanga, na vidole.*
  *KISABABISHI/CAUSATIVE AGENT.*
*A:Husababishwa na mlundikano mkubwa wa kundi la kuku Kwa eneo na kiasi cha mwanga kuwa mkubwa.*
*B:Kutikuwepo kwa Uwiano wa virutubisho katika chakula kama vile madini, vitamins, n.k*
*C:Kuacha kuku  waliokufa kila siku.*
  *D:Kuchanganya pumba ktk chakula*
   *DALILI.*
*—vidonda katika sehemu zisizo na manyoya.*
*—kuku kudonoana*
*—kunyonyoka. manyoya.*
    *TIBA NA KUZUIA*
*-Kuwapa chakula chenye virutubisho sawia*
*-Usichanganye Pumba ktk chakula*
  *-kuwapa kuku vitamin mda wote*

...................................................................................................................................................
 

0 comments:

 
Top