
Kuku wadogo huathirika zaidi kwa ukosefu wa vitamini ‘A’.
DALILI ZAKE
Macho huvimba na kutoa uchafu mzito kama sabuni ya mche iliyolowana maji.
Hudhoofika na hatimaye hufa.
TIBA NA KINGA
Kinga ugonjwa huu kwa kuwapa majani mabichi au mchicha wakati wa kiangazi.
Wape kuku vitamini za kuku za dukani wakati majani hayapatikani.
Kwa kuku alie athirika na ugonjwa huu msafishe na maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi
hakikisha uchafu wote unatoka kisha mpe vitamn ya dukani,unaweza tumia amin total au vitamn yeyote ile
Fanya zoezi hilo kwa siku 5-7
0 comments:
Post a Comment