CHOTARA
Ni kuku walioboreshwa (crossing) yaan hupatikana kwa kuchanganya Mbegu (kupandisha) either kuku wa asili kwa kuku wa asili au kuku wa asili na kuku wa kisasa.
Kuku huwa hupatikani Sana nchi za Asia na Africa,
na huboreshwa ili kukidhi Mahitaji ya sehem husika.
Mfano wa kuku Chotara
1. KARI - (KENYA AGRICULTURE RES INSTITUTE)
Hawa walipatkana kwa kupandisha kuku wa kienyeji (indigenens breed )
2. Kuroiler - hawa ni Keg Farm India
Ni Chotara waliopatikana kwa kupandisha Broiler parent na kuku Pure Kama white leghorn au RIR -Rhode Island Reds walipatukana kwa kupandisha layers parent breeds.
3. KENBRO, RAINBOW ROOSTER (toka morogoro India) MA Sasso
PURE BREED
hawa ni kuku wa asili ambao walikua wanapatikana hasa ktk nchi za Ulaya na Marekani
Kuku Hawa ni Kama
1. White leghon
Asili yao Italia na Baadae kupelekwa USA
2. Black Austrolorp/Australia Orpington/ Nation Breed of Australia
Kwa huku tunawaita Kuku wa Malawi kwasababu wameingi Tanzania kupitia Malawi
3. Rhode Island Red -RIR
Asili yake Marekani
KUKU WA KISASA
Hawa Ndio Broiler na layers
Hizi ni breed zilo endelezwa, ingawa hata zenyewe zakutengenezwa kwa kutumia mbegu za pure breed.
Kuku wa kisasa zipo Aina Nyingi ambao zimepewa Majina kulingana na kampuni zinazozalisha
Mfano
Broiler - Anack, Cobb na Chunky
Layers - Shever 288 na Shaver 577
..........................................................................................................................................................
0 comments:
Post a Comment