MFAHAMU KUKU AINA YA KUCHI
Haya unayapata katka app yako ya Ufugaji na Matibabu Vet ,At Mshindomedia Epuka kuwa na App copy pata Original hapa
Wana manyoya machache mwilinini na hasa kifuani, vilemba vyao ni vidogo.
Majogoo huwa na wastani wa uzito wa Kg. 2.5 na mitetea kg 1.5 mayai ya kuchi yana uzito wa wastani wa gm 45.
Ni moja ya jogoo mzuri sana
0 comments:
Post a Comment