script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X






 REASONS WHY SOME FARMERS FAIL
People don’t just fail. People fail because they fail do certain things that they ought to do. The farming industry is replete of many farmers who have given up. Let’s quickly explore the six vital reasons why they failed.
1. They are absent. Absentee farmers will always fail. To succeed in farming, you must be around your farm most of the time one way or the other.
2. They do it alone. Those who do the farming business just by themselves without meaningful and proper interactions with farmers that matters will pack up sooner or later. No one can succeed alone. A smart farmer knows that there are webs of interactions with farmers, vets, nutritionists and other notable professionals that will make farming successful.
3. They like cheap inputs instead of going for quality. A cheap mentality at the expense of productivity will always lead to frustrations. When a farmer is fanatical about cheap inputs, he is digging his business grave.
4. They bite more than they can chew. Some farmers, in a bid to make it big fast will take on more than they can handle financially and technically. And of course they will crash!
5. They don’t keep proper records. Structures and order usually bring increase. What you don’t measure may not grow and may even die.
6. They focus more on work than science. One Israeli prime minister once said that agriculture is 95 percent science and 5 percent work. When a farmer focuses more on activities than the laid down scientific obligations, he is bound to fail.

YAJUE MAAJABU YA MWANGA(LIGHT) KWA KUKU WANAOTAGA.
Wafugaji wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu utagaji hafifu wa kuku wao pamoja na kuwekeza vizuri kwenye breed nzuri ya kuku, kujitahidi kuzuia magonjwa, na kuwapa kuku chakula chenya ubora unaotakiwa.Imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa wafugaji wa kuku kuwafikisha kuku wao kwenye utagaji wa 100%.(nitaelezea sku nyingine juu ya kuandaa charts, graphs, na takwimu zingine za utagaji)
Pamoja na kufikisha (minimum chronological age) ambayo inategemeana na genes au aina ya kuku,pamoja na kupewa chakula bora na kufikisha uzito unaotakiwa kuanza kutaga kwa kuku kutategemeana sana na uzingatiaji wa mwanga (light) ndani ya banda la kuku.
Siku nne zilizopita kuku wetu walifikisha wiki ya tano, na kama kawaida yetu tukaanza kufanya kitu kinaitwa “step-down” ya muda wa mwngaza kutoka masaa 24 ya hapo awali kwenda masaa 8 tu. Wakifikisha wiki ya 18 tutafanya “step-up” (ona jedwali)
Utunzaji mzuri wa mwanga ni pamoja na kuzingatia kuwa banda lako linakuwa giza tupu kipindi cha giza bila kuruhusu mwangaza,hata kama banda lako ni la wazi unaweza kuliziba kwa kutumia shadow nets na kuwa na uhakika wa kuongeza uzalishaji kwa kiasi kikubwa sana.
Uchunguzi uliofanyika Colombia na Kenya ulionyesha kwamba pale kuku walipofugwa kwenye banda la wazi lakini wakaachiwa mwangaza kwa muda wa masaa nane tu ya mchana walianza kutaga wiki mbili kabla na ilivyotarajiwa.
Somo kubwa la kujifunza hapa ni kwamba ‘light stimulation’ pia inasababisha size na idadi ya mayai kuongezeka,tunaposema kwamba Kuku kwa mfano aina Kuroiler anao uwezo wa kutaga mayai kati ya 250-300 kwa mwaka tunamaanisha ni katika mazingira bora na yanayozingatia kanuni bora za ufugaji na usipofanya hivyo hautaweza kufikisha idadi hiyo ya mayai kwa mwaka.
Inapotokea kuwa mfugaji amefanya ‘light stimulation’ katika umri mdogo wa kuku tofauti na jedwali hapo juu,kitakachotokea ni kuwa katika utagaji kuku wake watataga sana lakini watataga mayai madogo,kuliko wale watakaokuwa stimulated katika umri mkubwa hivyo ni vizuri jedwali hilo likazingatiwa.


***PLEASE SHARE WITH AS MANY FARMERS AS POSSIBLE THIS APP PUBLICLY

................................................................................................................................................................



0 comments:

 
Top