- Ni kuku warefu kwa umbo na wenye kusimama mgongo ukiwa wima.
- Wana manyoya machache mwilinini na hasa kifuani,
- Vilemba vyao ni vidogo.
- Majogoo huwa na wastani wa uzito wa Kg. 2.5
- Na mitetea kg 1.5
- Mayai ya kuchi yana uzito wa wastani wa gm 45.
- Ni moja ya jogoo mzuri sana ..............................................................................................
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment