•Ugonjwa huu husababishwa na Bacteria huitwa Protozoa
•Ugonjwa huu huonekana katika sura kuu mbili.
•Ugonjwa huu huonekana katika sura kuu mbili.
1:Caecal coccidiosis
Sura hii ya ugonjwa hushika hasa vifaranga.
DALILI
•Vifaranga huonekana wamezubaa,kushusha mabawa
•Kinyesi kuonesha damu
•Vifo vingi hutokea
•Vifaranga kushindwa kula na kunywa.
•Damu huonekana kwa wingi katika kinyesi kabla ya kifo.
NB
Katika sura hii Kifaranga chenye coccidiosis sio lazima kioneshe dalili zote au kinyesi cha damu,Hapana unaweza kuona Vifaranga wako wamezubaa huku wameshusha mabawa,kuharisha kijivu,ugoro,vifo vingi kila asubuhi unakuta vimekufa.
•Usipo kuwa makini unaweza kujiuliza ni ugonjwa gani? Kwa kuwa umezoea mpaka uione damu kwenye kinyesi ndio ujue kuwa ni coccidiosis.
•Pia ni moja ya ugonjwa rafiki sana na uchafu, hivyo ugonwa huu unapoingia bandani jitahidi sana kuzingatia usafi, na kuwa tenga wale kuku wagonjwa sana ili kudhibiti ugonjwa kuenea bandani.

2.Intestinal coccidiosis
•Sura hii ya ugonjwa hushika kuku wakubwa.
DALILI
•Kuku kupunguza ulaji wa chakula,kukonda na kupungua uzito
•Kuku kuangusha mabawa
•Kuku kuharisha kijivu , ugoro na mara nyingi kinyesi kuwa na damu damu
•Utagaji wa mayai kupungua sana.
UKIUPASUA MZOGA/POSTEMORTEM
1.Utumbo kuonekana na damu
2.Utumbo butu kuwa na damu damu
3.Utumbo butu kuvimba
4.Utumbo sehemu za ndani kuonekana kama vile umesagika,cloaca ya kuku hubadilika rangi na kuwa na vidotidot kama vya damu.
KUZUIA/KUKINGA
•Epuka hali ya unyevu unyevu katika banda la kuku
•Ni muhimu kizingatia hali ya usafi kwenye banda la kuku
•Ni muhimu kizingatia hali ya usafi kwenye banda la kuku
DAWA ZA KUTIBU
•Esb3,Anticox,Vitacox na Amprolium Kati yahizi changanya na Vitamin.
......................................................................................................
0 comments:
Post a Comment