HOMA YA MATUMBO KWA KUKU (FOWL TYPHOID)
Ugonjwa huu huwapata jamii yote ya ndege wa nyumbani na wa porini. Ugonjwa huu
unasifka kwa kpunguza damu, kuharisha na kupunguza uzito. Ugonjwa huu
husababishwa na bacteria aina ya "Salmonella Gallinarum". Ugonjwa huu
husababishwa na Bakteria na huwapata kuku wa umri wote. Ugonjwa huu
huambukizwa kutoka kwa kuku wagonjwa kwenda kwa kuku wasio wagonjwa,
kupitia kwenye mayai, chakula chenye kinyesi cha kuku wenye ugonjwa pia watu
iwapo watabeba vimelea na kuja navyo kwenye banda.
JINSI UNAVYOENEA
1. Kupitia maji au chakula chenye maambukizi.
2. Kugusana kwa wenye vimelea vya magonjwa na kuku wazima.
3. Kupitia mayai.
4. Utupaji wa mizoga ovyo.
5. Wanyama kama paka, mbwa na panya pia wanaweza kusambaza ugonjwa.
DALILI ZAKE
1. Vifo vya ghafla hutokea.
2. Hupungukiwa hamu ya kula.
3. Hupungukiwa na uzito.
4. Kilemba na mashavu hupauka.
5. Kuwa na homa kali.
6. Kuharisha manjano na hutoa harufu mbaya.
7. Vifo huweza kufikia hadi asilimia thelathini (30%) na zaidi.
KINGA
1. Tenga kuku wagonjwa.
2. Nyama ya kuku aliyeugua ifukiwe vizuri.
3. USitumie mayai yaliyotagwa na kuku mgonjwa.
4. Kinga na matibabu ya haraka hufaa zaidi.
Matibabu
Typhoid hutibika na hasa kama ikigundulika mapema na kufuata
maelekezo ya daktari au mtaalam wa mifugo. Aidha utumie dawa mojawapo
kati ya zifuatazo:-
1. Ganadex
2. Hipraloma
3. Typhoprim
4. Trimazin
5. CTC
6. OTC
..........................................................................................................................

0 comments:
Post a Comment