Lengo ni kuboresha uzalishaji na kupata kizazi bora kuna aina nyingi za mbuzi
wa kufugwa kulingana na mazingira na mahitaji ya mfugaji.
Uchaguzi unaweza kufanyika kuangalia umbile,uzalishaji na kumbukumbu za wazazi kama vile umbo kubwa,ukuaji wa haraka uwezo wa kutunza vitoto na kutoa maziwa mengi

SIFA ZA ZIADA:-
Miguu ya nyuma iliyo nyooka na yenye nafasi kwa ajili ya kiwele,kiwele kiwe kikubwa na chuchu ndefu zilizo kaa vizuri.

SIFA ZA DUME:-
- Miguu iliyo nyooka na yenye nguvu
- Mwenye kokwa mbili zilizo kaa vizuri a kunyooka
- Mwenye uwezo na nguvu za kupanda
- Asiwe na ulemavu
UTUNZAJI WA
VITOTO:-
Hakikisha kitoto kinapata maziwa ya mwanzo(dang’a)siku za kwanza-3.
Kama kinanyweshwa kipewe lita 0.7-0.9 kwa siku maziwa haya ni bora kwa kuwa yana viinilishe na kinga dhidi ya magonjwa
Kama mama hatoi maziwa au amekufa mbuzi mwingine anae nyonyesha anaweza kusaidia kukinyonyesha.
Kitoto kinyonye kwa wiki 12-16 baada ya wiki2 kuzaliwa pamoja na maziwa apewe chakula kingine kama nyasi ili akuze
tumbo lake pia apewe maji ya kutosha.
Aachishwe kunyonya akifikisha miezi 3
Vipewe chanjo ya magonjwa kulingana na ushauri wa mtaalam

MATUNZO MENGINE:-
Mbuzi awekewe alama ili iwe rahisi kwa mfugaji kutunza kumbukumbu.

KUONDOA VISHINA VYA PEMBE:-
Aondolewe vishina
kati ya siku 3-14 na mtaalam wa mifugo
KUHASI:-
Vitoto ambavyo havitatumika kuendeleza kizazi vihasiwe na mtaalam wa mifugo

UTUNZAJI WA MBUZI WA MIEZI4-8:-
Ili mbuzi aweze
kukua na kupevuka mapema zingatia yafuatayo:-
Kumpatia chakula cha ziada kwa miezi 2 mfululizo kiasi cha kilo0.2-0.7 kwa siku kuanzia anapo achishwa kunyonyesha.
Kumpatia dawa za kuzuia minyoo kama utakavyoshauriwa na mtaalam wa mifugo na aogeshwe mara kwa mara ili kuzuia magonjwa.
Kukata kwato zikikomaa.

UMRI WA KUPANDISHA:-
Wakitunzwa vizuri
wanaweza kupandishwa
Kisasa umri wa
miezi 8-12
Wa asili
miezi18-24 kuzingatia afya yake na uzito wastani kilo 12.
DALILI ZA JOTO:-
- Hutingisha mkia
- Hutoa ute mweupe ukeni
- Hufuata dume
- Hamu ya kula hupungua
- Hukojoa mara kwa mara
- Uke huvimba na huwa mwekundu kukiko kawaida
- Huangaika mara kwa mara na kupiga kelele
- Kwa mbuzi anayekamuliwa hupunguza kiwango cha maziwa.
- Mbuzi mwenye dalili hizi apelekwe kwa dume na uchunguze tena dalili za joto baada ya siku 19-21
- Msimu mzuri wa kuzaa ni baada ya mvua.
1. Mbuzi
hubeba mimba kwa muda wa miezi 5
2. Apewe
chakula cha ziada 0.2-0.7.
3. Apewe
nyasi,miti malishi na mikunde mchanganyiko kilo 1.8-2.5 kwa siku
DALILI ZA KUKARIBIA KUZAA:-
Huangaika
kwa kulala na kuamka mara kwa mara
Hujitenga na kundi na hufuata
sehemu kavu na yenye kivuli
Hutokwa na ute mzito ukeni
Hupiga kelel
Pindi ukiona dalili hizi muandalie
sehemu maalum ya kuzalia na muwekee maji ya kutosha.
UTUNZAJI WA MBUZI ANAYE
NYONYESHA:-
Huhitaji chakula zaidi kwa kuzalisha maziwa kama vile nyasi jamii ya mikunde na majani ya miti malisho kg 1.8-2.5 kwa siku ni muhimu apewe nyongeza ya 0.3-0.8 kwa kila lita inayoongezeka na maji safi na salama wakati wote

UKAMUAJI WA MAZIWA ZINGATIA HAYA:-
Sehemu ya
kukamulia iwe safi na tulivu.
Awe na afya nzuri kiwele kioshwe na maji safi ya uvuguvugu.
Mkamuaji asibadilishwe badilishwe,awe msafi mwenye kucha fupi na asiwe na magonjwa ya kuambukiza.
Vyombo vya kukamulia viwe safi.
Maziwa ya mwanzo yakamuliwe kuchunguza kwenye chombo malum(strip cup) kama yana ugonjwa wa kiwele.

UTUNZAJI WA DUME BORA LA MBEGU:-
Dume la mbegu linahitaji matunzo mazuri ili liweze kuzalisha.
Dume bora huanza kupanda likiwa umri miezi 8-10 uwiano wa dume na jike ni dume moja kwa jike 40-50.
Malisho ya kutosha na chakula cha ziada kisipungue kilo 0.2-0.7 kila siku na maji ya kutosha.
Malisho ya miti yenye lishe,jamii ya mikunde na nyasi na mabaki ya mazao pia kilo 0.45-0.9 za chakula cha ziada kulingana na uzito wake na wingi wa majike anayopanda wiki 2 kabla

Mfugo unapoonyesha
dalili hizi na nyingine zisizo za kawaida muone Afisa mifugo aliyopo jirani
akusaidie;
- · Kupumua kwa shida
- · Homa kali,
- · Kukohoa
- · Kutiririsha mafua
- · Usambaaji wa haraka na vifo vingi kwa mbuzi wa umri wowote na jinsia zote pamoja
- · Kutupa mimba kwa mbuzi wenye mimba
- · Kula kwa shida
- · Manyoya kunyonyoka ..........................................................................................................................................
0 comments:
Post a Comment