script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X





•Maji na chakula kilichochafuliwa na kinyesi cha kuku wagonjwa na kwenye vimelea
•Kupitia mfumo wa hewa kutoka kuku wagonjwa
•Kupitia mayai, hivyo maambukizi huendelea kutoka kizazi hadi kizazi
Dalili/Condition
•Kuku kukoroma
•Kuku hutoa kamasi
•Kuku wanakohoa kwa muda mrefu, wiki hadi mwezi
•Kuvimba macho
•Kutingisha kichwa
•Vifo vya kuku vinaweza kufikia hadi asilimia 20
Uchunguzi/Diagnosis
Mafua mazito zenye usaha uliotapakaa kwenye pua, koromeo, mapafu na vifuko vya hewa
Tiba/Treatment
Madawa aina ya sulfa na antibiotiki, i.e Tylodox e.t.c

............................................................................................

0 comments:

 
Top