script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X





Ni kuku warefu kwa umbo na wenye kusimama mgongo ukiwa wima.
Sifa za kuku aina ya Kuchi
1.Wana manyoya machache mwilinini na hasa kifuani,
2.Vilemba vyao ni vidogo.
3.Majogoo huwa na wastani wa uzito     wa Kg. 2.5 na
4.Mitetea kg 1.5
5.Mayai ya kuchi yana uzito wa wastani wa gm 45.
         Ni moja ya jogoo mzuri sana Duniani


..............................................................................................

   


0 comments:

 
Top