Habari za wakati huu wapendwa wafugaji nawasio wafugaji,wasomi wa machapisho yetukwa ujumla.katika toleo hili tunachambuamagonjwa mbalimbali ya kuku.magonjwa ya kuku husabibishwa na vitu mbali mbaliikiwemo
virusi,
minyoo,
bakteria,
uchafu,
wadudu
Nahata upungufu wa virutubisho katika vyakulavya kuku hawa.
Magonjwa ambayo husababishwa na virusi hua ni vigumu sana kutibikahivyo mfugaji hushauliwa kuwapa chanjo ya magonjwa hayo.
Mfano ni mdondo(new castle disease)-ugonjwa huu ni hatari sana kwa kuahumaliza kuku wengi kwa wakatimmoja.wengine huita huu ugonjwa kideri.
Huu ni ugonjwa HATARI unaosababishwa na virusi pia ni ugonjwa ambao hauna tiba.Hivyo mfugaji anatakiwa kuwapachanjo mapema kabla ugonjwa haujafikaeneo hilo.dalili za mdondo ni kama.
1.kuku kukohoa au kuhema kwa tabu
2.manyoya ya kuku huvurugika na kua katikahali isiyo ya kawaida.
1.kuku kukohoa au kuhema kwa tabu
2.manyoya ya kuku huvurugika na kua katikahali isiyo ya kawaida.
3.kuku huarisha kinyesi cha kijani
4.kupoteza hamu ya kula na mabawa kupoza
5.kizunguzungu na kuanguka chali
6.kupoteza fahamu
4.kupoteza hamu ya kula na mabawa kupoza
5.kizunguzungu na kuanguka chali
6.kupoteza fahamu
ugonjwa huu hupelekea kuku wengi kufakufikia hadi asilimia 50 hadi 100 kama usipodhibitiwa mapema.
Namna ya ugonjwa unavyosambaa
1.virusi hawa huweza kusambaa kwa njia ya hewa au upepo husafirisha virusi hawa.
2.kinyesi cha kuku mwenye mdondo kikikanyagwa na mtu,baiskeli au wanyama wenginena kusafirishwa kwenye banda la kuku,ugonjwa huu huweza pia kusambaa.
3.kuku alie kufa kwa mdondo asipo zikwavizuri au kuchomwa moto,kuku mzima akilamabaki hayo,kuku hao watakua katika hatariya kupata mdondo.

JINSI YA KUPAMBANA NA MDONDO
Kama ilivyo elezwa hapo juu,gonjwa hilihalina tiba.lakini kuku wakipewa chanjo kwawakati hua katika usalama.kuna chanjo kama;
1.LASOTA
chanjo hii ni ya vidonge,kidonge kimojahuchanganjwa na maji safi.chanjo hii tolewabaada ya siku tatu kisha rudi baada ya wiki tatu na rudia kila baada ya majuma manne aukutokana na uonavyo.kabla ya kuku kupewadawa hii yapaswa wasipewe maji kwa masaakadhaa kwa siku hio na muda wa kupewa maji basi wapewe sehemu yenye kivuli.
chanjo hii hupatikana katika maduka mbali mbali ya mifugo.

2.Chanjo ya Thermostable 1-2,dawa hii inahuwezo mkubwa wa kustahimili joto,watu wasio na majokofu basi tumia dawa hii ila hifadhi sehem kavu na isio na joto.dawa hii huweza kukaa wiki mbili baada ya kufunguliwa kwa Mara ya kwanza.
EPUKA YAFUATAYO
kununua kuku katika minada na kuleta bandani
kuruhusu kila mtu kuingia katika banda la kuku
kuacha mabaki ya kuku walikufa ovyo katika mazingira ya kuku
kununua kuku katika minada na kuleta bandani
kuruhusu kila mtu kuingia katika banda la kuku
kuacha mabaki ya kuku walikufa ovyo katika mazingira ya kuku
pia,endapo kuku wengi walikufa katika banda hilo basi ni vyema usilete kuku wengine katika banda hilo angalau kwa ,mwezi au zaid.
Tenganisha kuku wenye dalili za ugonjwa na kuku wengine.
Tenganisha kuku wenye dalili za ugonjwa na kuku wengine.
ZINGATIA USAFI WA BANDA NA VYOMBO VYA KUKU WAKO.
..............................................
0 comments:
Post a Comment