script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X




Mjue kuku KUCHIhttps://www.mshindoveterinarycentre.com/


KUKU AINA YA KUCHI
Kuchi ndie kuku anauzwa kwa bei mbaya Zaidi hapa nchini, wanapatikana kwa wingi mikoa ya kati ya Tanzania Zaidi ukiwa mkoa wa Tabora, Mwanza, Shinyanga, Zanzibar .
Sifa za kuku aina ya KUCHI
  • Kuchi ni kuku wakubwa kwa umbo, 
  • Warefu na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. 
  • Kuchi wana manyoya machache mwilini hasa kifuani, 
  • Wana mdomo mfupi na panga/vilemba vyao ni vidogo.
  •  Majogoo huwa na wastani wa uzito wa kilo 3.5 na mitetea kilo 2. 
  • Mayai ya kuchi yana uzito wa wastani wa gramu 45.
Lengo kuu wa ufugaji wa kuku hawa ni kwaajili ya matumizi ya nyama,

kuku hawa si watagaji wazuri bali ni watamiaji wazuri zaidi wa mayai, hivyo hupoteza thamani ya ufugaji kwaajili ya biashara ya mayai.

0 comments:

 
Top