Ugonjwa huu ni hatari kwa maisha ya ng'ombe husababishwa na vijidudu vya theileria parva
Wadudu hawa hushambulia chembechembe nyeupe za damu (lymphocyte)
Dalili za ugonjwa huu.
.1)homa kali 41-42C
2)kuacha kula (anorexia)
3)kuvimba tezi (prescapula, parotid lymph nodes)
4)kushindwa kutembea
5)kulala chini na hatimae kufa kamatiba haipatikani haraka

Dalili za mnyama aikifa
Mapovu chini ya koromeo
Majimaji kwenye mapafu
Damudam kwenye moyo, utumbo na chini ya ulimi

Uchunguzi
Ng'ombe mwenye dalili kama hizo lazima upelekwa sampuli maabara(vetenary)
Vitu vitavyo onekana
Lymph nodes smear .....schizont
Blood smear................ Piroplasms

Tiba
Tumia Dawe yenye Buparvaquone ka.kama( Butakel ) wape na vitamin kama oligovit. Kamamnyama hana miba mpe pia dexamethasone ili kuondoa uvimbe.phenyl butazone pia husaidia kuondoa uvimbe.

Kinga
Kinga ni bora kuliko tiba.
Ogeshaa ng'ombe wako kila wiki kwa kutumia acaricides kwa ajili ya kuua kupe ambao husambaza ugonjwa huu.
Mfano wa dawa hizo ni
1)paranex
2)ecotix
3)tiktik
4)dropon
5)pour on.
Kuogesha ni muhimu sana kwa wafugaji wa ng'ombe ili kuua kupe ambao husambaza ugonjwa huu. Jitahidi kilawiki kuwaogesha ng'ombe wako.

.....................................................................................................................................
0 comments:
Post a Comment