script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X




TUJIFUNZE JUU YA  MADHARA YA ANTIBIOTICS:-  Matumizi Ya Antibiotics Bila Lengo or Kazi Maalumu Ina Madhara Makubwa Sana Kwa Mnyama Yey ote Yule Mpaka Kwa Binadamu. Pia Vilevile Inafaida/Inamatokeo Mazuri Sana Itakapotumika Kwenye Matumizi Sahihi 
Kwanza ni lazima tuelewe nini maana ya antibiotic na kazi zake?
ANTIBIOTIC NI NINI?  Hizi ni dawa zinazotumika kutibu magonjwa mbali mbali yasababishwayo na bacteria, Protozoa, Micro plasma, Fungal na wengineo. Inakazi ya kuua bacteria na kuzuia kuzaliana Multiplication Kwa bacteria mwilini. Na inazuia kuzaliana tu kwa baadhi Sio wote ya virusi na sio kuwaua kabisa.
 MADHARA YA TOKANAYO NA MATUMIZI MABAYA YA ANTIBIOTICS 
1.Inaufanya mwilini kuwa sugu na dawa za antibiotic Resist. 
2.Inawafanya baadhi ya vimeelea wa magonjwa kuwa sugu Resistance na kutoangamizwa na dawa zinapotumika kama tiba.
3.Inavuruga mpangilio Chains  ya ufanyaji kazi wa kinga za mwili Body Immunity  na hivyo kupunguza kinga za mwili. 
NOTE:
Antibiotic haiwezi kutumika kama Chanjo kazi yake ni kutibu tuu na si vinginevyo. Na watu wengi hapo ndipo wanapokosea na kudhani kuwa wanatoa kinga Kwa wanyama wao Kwa kuwapa antibiotic.

0 comments:

 
Top