script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X








  1. Kuna idadi kubwa ya kuku duniani kuliko idadi ya binadamu kwa makadirio kuna kuku zaidi ya bilioni 25, na pia kuku ndiyo ndege wengi zaidi duniani katika kundi ya kisayansi la familia ya ndege.
  2. kuku wanauwezo kwa kukumbuka zaidi ya sura 100 za watu na wanyama.
  3. kuku tetea anaye atamia hugeuza mayai yake mara 50 kwa siku na anauwezo wa kuatamia mayai 300 kwa mwaka.
  4. Rangi ya mayai ya kuku yanategemea rangi ya masikio yake, kuku mwenye masikio mekundu hutaga mayai ya brown na kuku mwenye masikio meupe hutaga mayai meupe.
  5. kuku wanauwezo wa kuhisi chumvi kwenye chakula lakini hawawezi kuhisi sukari kwenye chakula.
  6. kwa wastani kuku 97 huchichwa duniani katika kila baada ya sekunde 0.05.
  7. kuku akitenganishwa kiwiliwili na kichwa anaweza kurukaruka umbali wa ukubwa wa uwanja wa mpira.
  8. mwili wa kuku unaasilimia 15 zaidi ya maji kuliko mwili wa binadamu.
  9. njia yao ya kipekee ya kuwasiliana ni milio ambayo wanayo zaidi ya 30.
  10. kuku hujisafisha kwakutumia vumbi, huchimba shimo dogo na kujigeuza geuza kwenye vumbi la shimo hilo hadi watakapo lidhika , kisha hutoka na kujikung’uta.                                                      ...........................................................................................................................

0 comments:

 
Top