script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X





1. Cages zinakusaidia kuweza kufuga kuku wengi katika
 Battery cageseneo dogo.
2.Cages zinakusaidia kupunguza gharama za chakula,
Kwa maana ni kiasi kidogo cha chakula ndio hupotea
kulingana na mfumo mzuri wa chakula uliopo ndani ya
cages.
3. Cages zinakusaidia kupunguza gharama za maji ya
kuwapatia kuku kwasababu cages zina mfumo mzuri wa
unyweshaji maji ambapo ni kiasi kidogo cha maji
ambacho hupotea ukilinganisha na ufugaji wa kawaida
4. Cages zinakusaidia kukusanya kwa urahisi mayai,
kwamaana kwenye cages kuna sehemu maalumu za
kukusanyia mayai, hii hupunguza hasara itokanayo na
mayai kudonolewa, kuvunjika kutokana na purukushani
mbalimbali za kuku bandani. (kwa mfugaji wa kuku wa
mayai)
5. Cages zinakusaidia kukusanya kwa urahisi mbolea
itokayo kwa kuku wako na kuiongezea thamani, hii ni
kutokanana cages kuwa na mfumo mzuri wa ukusanyaji
wa mbolea. (Hiki kinaweza kuwa chanzo kingine kizuri
cha mapato)
6. Cages zinakusaidia kuokoa hadi 75% ya muda
unaotumia kuhudumia kuku wako. Hii ni kutokana na
cages kuwa na mifumo mizuri ya Chakula, maji, na
mbolea.
7. Cages zinakusaidia kujua idadi ya kuku wako,
kwamaana ni rahisi kuwahesabu kuku wakiwa kwenye
cages, ukilinganisha na kuku wasio kwenye cages.
Hii pia inakusaidia kugundua kwa haraka kama kuna
wizi wowote uliotokea.
8. Cages zinakusaidia kuzuia kuku kupatwa na
magonjwa.
9. Mabanda haya yamewekwa katika mfumo ambao
kuku hazunguki sana, inamaana anakuwa na eneo dogo
linasababisha aweze kutaga sana.
Kwasababu virutubisho vingi anavyokula vinaenda
katika utengenezaji wa mayai.

DOWNLOAD APP ZETU HAPA TOKA MSHINDO MEDIA

0 comments:

 
Top