1.Virusi
Vimelea aina ya virusi usababisha magonjwa yasiyotibika ,
Hivyo yanahitaji chanzo Kama newcastle , fowl pox , infection bursal disease
2.Bacteria
Vimelea wengine kama bacteria wanaosababisha magonjwa kama fowl typhoid , fowl chorela , infection coryza
3.Uchafu wa mazingira
Usababisha visumbufu kama vile chawa , viroboto , minyoo , papasi ,
4.Lishe duni
Ajali ya lishe duni upelekea upungufu wa kinga na mahitaji ya mwili
Uweza kusababisha matatizo Kama vile matege , kuvunjika mifupa
0 comments:
Post a Comment