Kupe(Wadudu wa nje)
Hawa ni pamoja na kupe, viroboto, chawa na nzi. Kogesha mara kwa mara ( kila baada ya wiki 2) au kunyunyiza na viuadudu iliyopitishwa kwa usahihi kama Grenade au Triatix kutoka Coopers inasaidia kudhibiti kupe kama Brown Ear Tick. Brown Ear Tick husababisha magonjwa kama Nagana ( ECF)Jinsi ya kuogesha ng’ombe wako na Grenade au Triatix kutoka Coopers:
Hatua ya 1
Changanya bidhaa na maji kwenye knapsack. Fuata maelezo kwenye pakiti.lita 10 za mchanganyiko unatosha kwaajili ya ng’ombe 1 mkubwa au ndama 2 wadogo.Hatua ya 2
Mnyunyizie ng’ombe. Anza upande wa nyuma wa ng’ombe na nyunyiza kuelekea upande wa mbele wa ng’ombe. Hii ni kwasababu manyoya ya ng’ombe yanaota kutoka nyuma kuja mbele, hivyo dawa itafika kwenye ngozi kama utaanzia nyuma.Hatua ya 3
Hatua ya 4
Puliza kila siku 7Wadudu wa ndani
Wadudu wa nje haswa ni pamoja na minyoo-duara, minyoo-bapa, na kadhalika.Wape ng’ombe wako dawa ya minyoo kila baada ya miezi 3 kwa kutumia Nefluk au Nilzan kutoka Coopers. Usingoje ng’ombe wako apate minyoo kabla ya kutibu.
Kiasi gani cha Nefluk au Nilzan unachompa ng’ombe wako ni kuendana na uzito wake. Usikisie uzito, tumia mkanda wa uzito. Kama utampa dawa kidogo ya minyoo, minyoo itakua sugu.
Inapendekezwa kufanya unyweshaji wakati unampa dawa ya minyoo kuhakikisha ng’ombe anameza dozi yote ya dawa. Kumpa dawa ya minyoo kwa kutumia bunduki ya kunyweshea:
Hatua ya 1
Hatua ya 2
Pima dawa kwenye chupa au bunduki ya kunyweshea kuendana na maelezo ya mzalishaji.Hatua ya 3
Weka mkono mmoja kwenye pua ya mnyama, fungua mdomo kiasi cha kutosha kuweza kuingiza bunduki au chupa.Hatua ya 4
Weka chupa pembeni mwa mdomo wa mnyama na hakikisha kwamba ulimi haujazuiliwa unapompa dawa.Hatua ya 5
Shikilia mdomo uliofungwa kwa sekunde chache baada ya kutoa chupa ili dawa imezwe yote.DOWNLOAD APP ZETU HAPA TOKA MSHINDO MEDIA
0 comments:
Post a Comment